Better Health Channel
betterhealth.vic.gov.au Department of Health
betterhealth.vic.gov.au Department of Health
  • Familia inapoathiriwa na shida, kila mtu katika familia ataitikia kwa njia tofauti.
  • Kuelewa miitikio ya mfadhaiko na matokeo yao kwenye mienendo ya familia kunaweza kusaidia familia kukabiliana nayo.
  • Usisite kutafuta usaidizi wa kitaalamu ikiwa unafikiri familia yako inatatizika kupata nafuu au kuzoea.