Better Health Channel
betterhealth.vic.gov.au Department of Health
betterhealth.vic.gov.au Department of Health
  • Ebola ni ugonjwa kali unao sababishwa na virusi inayo itwa orthoebolavirus.
  • Inaweza kusababisha homa, kutoka damu na mara nyingi kuhatarisha maisha.
  • Inatokea sana kwa inchi za Afrika ya mashariki na ya kati. Virusi vya kusababisha Ebola havipo Australie.
  • Inaweza sambazwa kwa kuingia kugusana na mtu mwenye iko nayo.
  • Kila yeyote aliyesafiri inchini kwenye inapatikana akiona ana anza kuwa na dalili anapashwa kutafuta kutunzwa haraka.

Give feedback about this page

Reviewed on: 21-09-2026